junior john edward
Member
- Jun 24, 2013
- 6
- 0
umri wangu ni miaka zaidi ya 25 ni mkaz wa mby city. knamsichana nampenda sana kiasi kwamba sitamani msichana yeyote mwingine ktk dunia hii, lakin kinachoniumiza tangu nimekua naye hamna kipindi ambacho tumewahi kukaa kwa amani angalau wiki 2, ni malumbano wakat wote tena yasiyo na sababu ya msingi lakin anaonesha ananipenda sana tatizo cjui ni nini, hali ambayo imepelekea mimi kupata maradhi ya moyo na vidonda vya tumbo , kinachonishangaza tunashirikiana kwa kila hali na tuna kipindi kirefu sasa(miaka 6) nashindwa namna ya kutafuta amani kati yangu mimi na yeye, nampenda sana.