Hivi mtu akikupa stress bado anakua rafiki yako ama..?...kwani kujitoa kwenye stress unashindwa nini,..au ndio umario wenu ndio unawasumbua i.e kulala kwa mwanamke,gari la mwanamke,chakula kwake,matibabu yeye,....ndio maana anakustress lakn bado unang'ang'ania.......
When you truly love someone you should learn to let them go!!If she is worth ur love she will realize that!
When you truly love someone you should learn to let them go!!If she is worth ur love she will realize that!
Daah, this has happened to me haisee, and i decided to let her......kiukweli Mwanamke akipendwa sana ni shida...
Sio mwanamke tu mtu yoyote akipendwa sana ni shida!
Pole sana ila hapo huna chako tena huyo anakufanya kama chuma ulete unamuhudumia kwa kila kitu ila yeye anawake wa pembeni ambaye ana mjali na kumthamini kama ambavyo ww unamjali na yeye anajamaa anamjali hivyo na huenda hata pesa zako anazitumia kumtunza huyo jamaa mwingine
Mpe Atm card yako na password tuone.
yupo mkoani gani maana izo ndo character za demu wangu
Mwananchi B pole sana
Keshaniumiza sana hadi shakuwa sugu, akinitosa sitashangaa, tasonga mbele tu kiume, huwa natatua kila kitu kwa upendo wa dhati na upole ila mbidada kama hanisomi vile ndo maana simuelewi kabisa
Daah, this has happened to me haisee, and i decided to let her......kiukweli Mwanamke akipendwa sana ni shida...
Tunasaidiana mm ni mdada ila kuna kaka ananfanyia vtuko had basi