propaganda za kichina bashite mpelekee mama yako karomije Magufuli taifa zima hatumpendi anaendesha mauaji manyanyaso na zaidi atupa nchi yetu kwa mabeberu anagalia anavyowamilikisha ardhi wchina machimbo ya dhahabu Barrick kwa share ya asilimia 16% utampendaje mtu anahamishia rasimali zote za taifa chato labda uwe mwenda wazimuTunampenda sana Rais wetu mkuu
Wachache wasiompenda Ni wale mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wale wenye vyeti feki
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Magufuli
Unasumbuliwa na Magufulimania.Kiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Sasa umatueleza tukusaidie je? Ni tangu lini uliona ibilisi anakaa meza moja na taifa la mungu. Sifa za ibilisi zinajulikana.Kiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Tunampenda sana Rais wetu mkuu
Wachache wasiompenda Ni wale mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wale wenye vyeti feki
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Magufuli
Acha ukasuku wa kuimba wimbo asioutunga! Hao mafisadi na wauza ngada walishushwa au walitengenezwa na kufadhiliwa na ccm ili wapate pesa za kununua kura!Tunampenda sana Rais wetu mkuu
Wachache wasiompenda Ni wale mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wale wenye vyeti feki
Mungu ibariki Tanzania,
Mungu mbariki Rais Magufuli
😅😅😅😅Kama unampenda kweli hebu mtunuku meninah yako.[emoji848]
Hasira za mkisi nafuu ya mvuvi. hasira hasara.Kiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Upo weye mkuu?Yeye anajua km unamfeel?si umfungukie tu!
Funga naye ndoa.Mola atawajaalia mzae "viumbe"!Kiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Be vakahisile ikisimu be!manyi be...poyoli hela!..veve ndauliUpo weye mkuu?
Watapigana deki mwaka huu
Kwa sababu ya ujinga wako,yaani Magufuli aaombe kazi mwenyewe tena kwa kupiga pushups hadharani,then waajiri wake wanapomsema kwa kushindwa kwake kutekeleza majukumu aliyoomba mwenyewe kisha wewe ndo unapata hasira,kama wewe si zuzu na mjinga utakuwa nani?Kiukweli Rais Pombe Magufuli nampenda sana hivyo ninapoona watu wana muzungumzia tofauti na mtazamo wangu nahisi hasira sana sielewi ni kwa Nini?
Noma sana aisee!Pole.Mimi mzima namshukuru Maanani.Nasema hivi..."weye chapa kazi"...!Be vakahisile ikisimu be!manyi be...poyoli hela!..veve ndauli
"Mniombee"in Mkulu voiceNoma sana aisee!Pole.Mimi mzima namshukuru Maanani.Nasema hivi..."weye chapa kazi"...!
Nani amuombee?Hasomi maandiko?Kila mtu abebe msalaba wake hata kama ni wa kuuvaa na cheni.Mimi najitolea kumuombea maji ya kunywa kwa majirani."Mniombee"in Mkulu voice
Nani amuombee?Hasomi maandiko?Kila mtu abebe msalaba wake hata kama ni wa kuuvaa na cheni.Mimi najitolea kumuombea maji ya kunywa kwa majirani.