Nampenda sana huyu

Warembo mmependeza!!

Heri ya kuzaliwa kwa muhusika!!
 
Which one? Ila wote ni warembo. Hongera!
ni warembo au wazuri?
au wana sifa zote mbili?
maana kiswahili bwana mara nyingine unaweza ukawa unataka kumaanisha hivi nikaelewa vile,hebu jaribu kuliweka sawa ili twende sambamba...
 
ni warembo au wazuri?
au wana sifa zote mbili?
maana kiswahili bwana mara nyingine unaweza ukawa unataka kumaanisha hivi nikaelewa vile,hebu jaribu kuliweka sawa ili twende sambamba...
Warembo. Uzuri au ubaya mpaka umfahamu mtu. Wazo langu lakini.
 
Warembo. Uzuri au ubaya mpaka umfahamu mtu. Wazo langu lakini.
waoo,mrembo ni mtu aliyejitia urembo/aliyejipamba....uzuri ni ule wa asili ambao mtu amezaliwa nao na ukamvutia mtu akimtazama hata kama hajajipodoa,so mtu anaweza akawa mzuri na akaongeza vipodozi na jina linabadirika anakuwa mrembo,na kuna yule hajipodoi ila ni mzuri anabakia kuwa mzuri,ingawa hakuna binadamu mbaya wote tu wazuri ila uzuri ndio unatofautiana huwa haiwezekani wote wafanane,nahisi nimejitahidi kuliweka sawa..
 
Wazo lako. Naliheshimu.
 
Huyo binti nahisi namjua
aliwahi kusoma Saut-Malimbe pale Happy Birthday!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…