Inkoskaz JF-Expert Member Joined Nov 6, 2010 Posts 6,359 Reaction score 2,389 Dec 15, 2011 #21 Judgement said: Aisey! Unampendaje mwanamke mwenzio? Wakati hata Mr. David hajafanikiwa kutusimikia ile sheria? We labda useme unam'mind au unamfagilia like! Click to expand... wanatupotezea sana muda hawa watu usje kuta malengo yao yanatimia...kututoa kwenye umakini wa hoja za maana na kuwajadili wao
Judgement said: Aisey! Unampendaje mwanamke mwenzio? Wakati hata Mr. David hajafanikiwa kutusimikia ile sheria? We labda useme unam'mind au unamfagilia like! Click to expand... wanatupotezea sana muda hawa watu usje kuta malengo yao yanatimia...kututoa kwenye umakini wa hoja za maana na kuwajadili wao
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,342 Reaction score 10,686 Dec 15, 2011 #22 MwafrikaHalisi said: Ok bye! Click to expand... mwafrikahalisi = Zubeda mchuzi?
L Luluka JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 624 Reaction score 161 Dec 15, 2011 #23 Jaman tumechoka na upuuzi kama huu!kama unampenda Mpm!usisumbue watu kusoma ujinga.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,736 Dec 15, 2011 #24 Napita tu hapa..... naogopa manundu :crutch: by Elia.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Dec 15, 2011 #25 m-pm......
zubedayo_mchuzi JF-Expert Member Joined Sep 2, 2011 Posts 4,873 Reaction score 1,221 Dec 15, 2011 Thread starter #26 acheni wivu nyie wivu...