Nampenda Sana f.f...

Aisey! Unampendaje mwanamke mwenzio? Wakati hata Mr. David hajafanikiwa kutusimikia ile sheria? We labda useme unam'mind au unamfagilia like!

wanatupotezea sana muda hawa watu usje kuta malengo yao yanatimia...kututoa kwenye umakini wa hoja za maana na kuwajadili wao
 
Jaman tumechoka na upuuzi kama huu!kama unampenda Mpm!usisumbue watu kusoma ujinga.
 
Back
Top Bottom