Nampenda nahisi ananipenda pia ila mh!

Nampenda nahisi ananipenda pia ila mh!

Vipi ikitokea umepata binti mwenye kifafa utaamua kutompa mapenzi y dhati,,,,,,????au utampenda zaidi kwa kumuonesha kwako kifafa n minor kbisa
 
Fuatilia story ya mama mmoja ambae mtoto wake alikuwa anapata kifafa mara 30 kwa siku.
Ni UK ambapo hawaruhusu hii dawa ndipo alipokwenda Holland na kupata matibabu.
Dozi ya kwanza mpaka ya tatu ilishusha mpaka sana mpaka kufikia mara 20 na ilizidi kushuka mpaka x3 kwa siku

Alikuja na dozi zake uk lakini alikataliwa kuingia nayo ikabidi afungue kesi na akashinda kama exceptional

Dawa ni mafuta ya bangi yes hayo hayo
 
umeniangusha hapo uliposema unahofia atapata manyanyaso toka kwa ndugu zako....

mwache dada wa watu usije muongezea matatizo maana inaonekana huwezi control ndugu zako
 
Naomba usimguse mdada wa watu endeleeni na urafiki wenu huo huo mpaka pale utakapoona kuwa unaweza kukabiliana na changamoto za kuwa na mpenzi wa ugonjwa kwanza je unajua huo ugonjwa mara nyingi ni wa kurithi ina maana upo tayari kuuingiza kwenye kizazi chako? unaweza majukumu ya kumlea mgonjwa wa kifafa?unaweza kukabiliana na changamoto za jamii yako wazazi, ndugu,jamaa utakapokuwa na dada watu kama huna uwezo kuyakabili hapo juu naomba usimuongezee matatizo binti wa watu muache kabisa muhimu msaidie mpeleke Muhimbili pale Idara ya magonjwa ya akili kuna wataalamu waliobobea, na kuna kliniki maalum kwa ajili ya wagonjwa wa kifafa atapata msaada unaostahiki na maisha yake yataboreka zaidi
Asante mkuu hv hiyo kitu haitibiki kabisa?
 
Nipe namba nikutibie na nikuolee kabisa, dude do u love the woman or its just for certain purposes, mkuu kama unampenda ulitakiwa kuwa ushafuatilia kwa madaktari tokea zaman mkuu, hapo umeniangusha
Mkuu ndo naanza saiv
 
Vipi ikitokea umepata binti mwenye kifafa utaamua kutompa mapenzi y dhati,,,,,,????au utampenda zaidi kwa kumuonesha kwako kifafa n minor kbisa
Da ! ! !
Kaka umetoa point ya muhimu mpaka imeni gusa moyoni
Kweli ukimpemda mtu kiukweli utakuwa tayari kubeba Mapungufu yake no matter what na utapigana kutafuta njia ya kumsaidia
Huu ndio Upendo wa kwanza unaitwa AGAPE
 
Back
Top Bottom