cyrax
Senior Member
- Mar 12, 2017
- 111
- 115
Wakuu salam,
Kama title inavyojieleza kuna binti mmoja amekuwa rafiki yangu kwa muda mrefu sasa kama miaka 2 hivi.
Binafsi nilitokea kumpenda sana ila wakati nataka kumueleza nikagundua kuwa ana tatizo la kifafa tangu utotoni na anatumia dawa za kumzuia asianguke kila siku.
Kwa sasa nahisi kuwa ananipenda pia kuna wakati hunieleza kuwa namchukia sipendi kumuona akiwa na furaha nikimuuliza kwa nn hanipi sababu pia hunitembelea Mara kwa Mara pasipo na sababu yoyote, anataka kumjua na mama yangu pia.
Binafsi nampenda ila tatizo hilo la kifafa ni kama kikwazo nahsi atanyayasika badae staki ilo litokee.
Nipo kwenye dilemma wakuu
Hivi kuna uwezekano wa kutibu hali hii