Duuh....! Katika hoja zote makini kwenye hili bandiko hii ndio observation yako ?kwanza story yako ni ndefu sana to read, ila ungekuwa au kama wewe ni mwanamke na umekiri kuwa unampenda basi ujumbe umefika na natmai atakupangishia nyumba na kukugeuza nyumba ndogo yake kama alivyofanya kwa masooooooooogan.......e
Nowadays ni ngumu sana kuendelea kuamini kuwa JF bado ni jukwaa special for great thinkers."Ukitaka kumficha Mtanzania jambo liweke kwenye maandishi" mtaalam mmoja alinena.
Nimesoma post. Comments za matusi are uncalled for. Watu wanataka ifupishwe. Hawasemi kwa kiasi gani.
Niwaombe wana jf wenzangu tuache matusi. Let's be objective. Kama hukubaliani na hoja, ikosoe kwa hoja. Ndivyo watu wasomi na wastaarabu hufanya.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji40]kwanza story yako ni ndefu sana to read, ila ungekuwa au kama wewe ni mwanamke na umekiri kuwa unampenda basi ujumbe umefika na natmai atakupangishia nyumba na kukugeuza nyumba ndogo yake kama alivyofanya kwa masooooooooogan.......e
Ungesoma alichomaanisha ungejionea aibu kweliYaani upo serious kabisa unaandika uzi mrefu hivyo watu wasome unavyompenda makonda? Haya
Wewe ni mpuuzi kati ya wapuuzikwanza story yako ni ndefu sana to read, ila ungekuwa au kama wewe ni mwanamke na umekiri kuwa unampenda basi ujumbe umefika na natmai atakupangishia nyumba na kukugeuza nyumba ndogo yake kama alivyofanya kwa masooooooooogan.......e
Hii ni fasihi na falsafa ya hali ya juu.Sawa bashite
Hata yeye alikua anampenda warioba ndo mana akampiga,hata yy alikua anampenda yule mama yetu ndo mana akamuita kichaa,hata yy alikua anapenda madaraka ndo mana akagushi vyeti
Mkuu mie niliamua kuwaignore......Kama wanaokosoa wangesoma mpka mwisho basi wangejiona wajinga kweli na wangezifuta hata comments zao.
Neno kumpenda Makonda/ Daudi limewapoteza kabisa na wakaacha kusoma hata kinachomaanishwa ndani yake.
Huna sababu ya kutumia nguvu nyingi sana kuwatambua Watanzania ni watu wa aina gani wewe wawekee kitu kweyye maandishi utajua.
Makonda/Daud hapa kaonywa na kukosolewa vibaya sana na kama ataisoma hii atajifunza na kuwa na adabu.
Kuna watu wakisema jf ya leo imejaa mauzauza tunakataa lakini kama mtu yupo hapa kashindwa kusoma mada yote ndio achangie yeye kaona kichwa cha habari tu katukana, sasa mtu wa namna hiyo unaachaje kumuita mjinga?
[emoji113] [emoji3]Hii ni fasihi na falsafa ya hali ya juu.
Kweli wewe kiazi, kusoma andiko umeshindwa, halafu unapata ujasili wa kutukana. Ungeacha tu, mwandishi kachambua vizuri bila ushabiki kama ulioonyesha wewe hapokwanza story yako ni ndefu sana to read, ila ungekuwa au kama wewe ni mwanamke na umekiri kuwa unampenda basi ujumbe umefika na natmai atakupangishia nyumba na kukugeuza nyumba ndogo yake kama alivyofanya kwa masooooooooogan.......e
"Ukitaka kumficha Mtanzania jambo liweke kwenye maandishi" mtaalam mmoja alinena.
Nimesoma post. Comments za matusi are uncalled for. Watu wanataka ifupishwe. Hawasemi kwa kiasi gani.
Niwaombe wana jf wenzangu tuache matusi. Let's be objective. Kama hukubaliani na hoja, ikosoe kwa hoja. Ndivyo watu wasomi na wastaarabu hufanya.
Kweli wewe kiazi, kusoma andiko umeshindwa, halafu unapata ujasili wa kutukana. Ungeacha tu, mwandishi kachambua vizuri bila ushabiki kama ulioonyesha wewe hapo
Jf kama fb now daysKama wanaokosoa wangesoma mpka mwisho basi wangejiona wajinga kweli na wangezifuta hata comments zao.