MASHIMBOTI
Member
- Sep 7, 2018
- 36
- 18
UMEONGEA KWA HUZUNI SANA .... OMBA MUNGU UTAMPATA
Khaa unatutukana?Wanawake wapole huwa wanaelewa mambo mengi ukilinganisha na wale wenye makelele na macho kama wanasoma talaka
Heaven yupo hajazeeka kweli??
Wanawake wapole huwa wanaelewa mambo mengi ukilinganisha na wale wenye makelele na macho kama wanasoma talaka
Type yako ni very superb
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bangi jaman za bima sio nzuri sana [emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapa ulowataja hakuna mpole... tena hapa hatarishi ni my dota wako[emoji23][emoji23][emoji23].... ! ila mm sipo ktk kundi la wanawake wakorofi.. sijajua nipo kundi gani..ila upole sifit..maana sipend kuonewa kbs
Hapana aisee[emoji23]Unasubiri nn, changamkia fursa hiyo.
Hivi we ni mpole kweli?
Sasa sisi ndio wapole tulobaki, otea wengine wana hali gani!!!
[emoji23][emoji23][emoji23] haya banaThat's "my ID"
😂😂nacheka mm hapa jamanNamuonea huruma huyo mpole unaemtaka, mwanaume una maneno kama bi Hindu!!!
Wanawake wapole huwa wanaelewa mambo mengi ukilinganisha na wale wenye makelele na macho kama wanasoma talaka
😂😂😂.. hawajuagi tu..raha ya anayekugonbeza ww unakua kimyaaa..yan mtu akipita road ajue unajigombeza mwenyew..inainekana unapenda kubwata bwata ndo maana unatafutq mpole wa kumuonea😂kila la heriMi sipendagi hao wakorofi maana hata majirani wakipita karibu na nyumba yenu wanajua bunge limehamia hapo