Nampenda mwanamke mpole

Nampenda mwanamke mpole

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😷[/QUOT


😤😤au ww ni mbabe..unataka unalowaza ww tu ndo mke afanye htaki challenges.. thts y unaopt kutafuta wapole wakimyaa.. ila kuwa makini na hao wakimya hua kama wana viburi grade 1..
 
Habari wakuu
Katika ulimwengu huu wa karne ya 21,wanawake wengi wameharibiwa sana kisaikolojia,kitabia,mwenendo na hata hulka zao katika nyanja tofauti tofauti,hii hupelekea mwanaume kupata wakati mgumu sana wa kufanya absolute selection hata kabla haja mfata mrembo Huyo na kumwambia hisia zake,wanawake wamekuwa wakibadilika day to day kwa kadri walimu wao wa television,mass media na utandawazi kwa ujumla wanavyo washape,ile mentality ya mwanamke kuishi natural imekuwa absurd na hatimaye artificial life style,copy and paste mechanism imewateka kila idara,staki kusema how wanavyokuwa kila great thinkers hunielewa nachomaanisha,in short napenda nimpate mwanamke mpole,smart kichwani,natural na mwenye hofu ya Mungu,japo najua itagharimu sana akili na muda kumpata.Na siku nikimpata basi katika maisha yangu nitakuwa nimeziba mwanya wa asilimia45 ya ndoto zangu.Kiss to all CALM LADIES BE BLESSED.
Mm hapa mporee hatar
 
Wapole tumebaki mimi, Heaven Sent na manengelo tu.


😂😂😂😂😂😂😂 bangi jaman za bima sio nzuri sana 😂😂😂 yaan hapa ulowataja hakuna mpole... tena hapa hatarishi ni my dota wako😂😂😂.... ! ila mm sipo ktk kundi la wanawake wakorofi.. sijajua nipo kundi gani..ila upole sifit..maana sipend kuonewa kbs
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bangi jaman za bima sio nzuri sana [emoji23][emoji23][emoji23] yaan hapa ulowataja hakuna mpole... tena hapa hatarishi ni my dota wako[emoji23][emoji23][emoji23].... ! ila mm sipo ktk kundi la wanawake wakorofi.. sijajua nipo kundi gani..ila upole sifit..maana sipend kuonewa kbs
Huwezi kuonewa kwani upole unautafsiri vipi??
 
Back
Top Bottom