1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,969
- 13,848
Watu na nyota zenu bwana, chekecha ukimaliza utaniambia yupi nimwite shemelashostiii
hahahahaa shogaa sasa nichekeche nn jomoniiWatu na nyota zenu bwana, chekecha ukimaliza utaniambia yupi nimwite shemela

Nikajua uko kanisaniOh my Gawd!!!....![]()
Usikae kando sana kaka jamanii![]()
sina mana ya kwamba kaka mtu ndio nakuacha, hapana, nakaa tu pembeni ili kama kuna hatua ya pili yake nitaitwa kwa taratibu zinazofuataNimetoka muda si mrefu,.ibada ilikuwa moja Leo,.Nikajua uko kanisani

Bahati hyo imekuangukiaOh my Gawd!!!....![]()
Babe, sitachoka kukupenda daima muhim tuvumiliane tu huku tukiomba Allah atupe umri mrefu zlna afya zetu ziwe njema honeynajua mpenzi, tupendane daima
Hahaha nitasema nini mimi nasubiria utoe jibu kwa mleta madaunataka kusemaje sasa??
Nitatoa jibu omega,.Hahaha nitasema nini mimi nasubiria utoe jibu kwa mleta mada

