King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,927
- 95,288
Huyo mzee ana miaka mingapi? Ujue hata hawa kina mulugo wanakuona na wewe mwenye 27 mzee.
xaxa kama huyo shaibu/mzee ananyanyua chuma au aliwahi kuwa mcheza :boxing: ??mana napata utata kwa mzee kuwa na uwezo wa kukugeuza punching bag , labda kama ndo wale vidingi wasela sawa. ila pole xana kwani kuna siku atakutoa kwa KO raundi ya 1 tu.Wana jamii mimi mdada mwenye umri wa 27 na mume wangu mzee nampenda sana lakini yeye hanipendi kila siku ananigeuza punching bag la kufanyia mazoezi na tuna watoto wa 4 nafikiria kumtoroka sema naona watoto watapata shida wanaendelea na masomo hapa naomba ushauri wenu
Hapa hujadandia thread ya watu? Labda mimi nakosea, nikumbushe tafadhali!Aisee hapo fanya mpango ung'ang'anie hapohapo vinginevyo ameshaharibu maisha yako kwan don't expect mtu akuoe na hao watoto wanne,ipo lakini chance yake ni ndogo sana-kwa sababu hata biograph yako am sure kama now 28 na watoto 4 hujaenda shule!!Sema fanya mpango upate hata proffesional. Au hata kamtaji ili uweze kujisimamia mwenyewe kimaisha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Hapa hujadandia thread ya watu? Labda mimi nakosea, nikumbushe tafadhali
low iQ-unauwezo wa kufikiria hata kuku anakushinda
Wana jamii mimi mdada mwenye umri wa 27 na mume wangu mzee nampenda sana lakini yeye hanipendi kila siku ananigeuza punching bag la kufanyia mazoezi na tuna watoto wa 4 nafikiria kumtoroka sema naona watoto watapata shida wanaendelea na masomo hapa naomba ushauri wenu

ngoja kwanza ilikuwaje ukaolewa na mzee?a hao watoto 4 wote wakwake?mtoto wa kwanza ana umri gani?am trying to figure out hao watoto umewazaaje na wamepishanaje?
unafanya kazi?na kwa nini akudunde hivo?
Aisee hapo fanya mpango ung'ang'anie hapohapo vinginevyo ameshaharibu maisha yako kwan don't expect mtu akuoe na hao watoto wanne,ipo lakini chance yake ni ndogo sana-kwa sababu hata biograph yako am sure kama now 28 na watoto 4 hujaenda shule!!Sema fanya mpango upate hata proffesional. Au hata kamtaji ili uweze kujisimamia mwenyewe kimaisha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums[/QUOTEangekuwamsomi ndio ingekuwa poa sio!
Aisee hapo fanya mpango ung'ang'anie hapohapo vinginevyo ameshaharibu maisha yako kwan don't expect mtu akuoe na hao watoto wanne,ipo lakini chance yake ni ndogo sana-kwa sababu hata biograph yako am sure kama now 28 na watoto 4 hujaenda shule!!Sema fanya mpango upate hata proffesional. Au hata kamtaji ili uweze kujisimamia mwenyewe kimaisha
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Miaka 27 na una watoto wa 4............
Pole mwaya hawa wanaume wanaopigaga wake zao wanashangaza sana
Wana jamii mimi mdada mwenye umri wa 27 na mume wangu mzee nampenda sana lakini yeye hanipendi kila siku ananigeuza punching bag la kufanyia mazoezi na tuna watoto wa 4 nafikiria kumtoroka sema naona watoto watapata shida wanaendelea na masomo hapa naomba ushauri wenu
20 wa 1,22 wa 2,24 wa 3,26 wa 4 probably 28 wa 5Miaka 27 na una watoto wa 4............
Pole mwaya hawa wanaume wanaopigaga wake zao wanashangaza sana