Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,319
- 3,434
ubaya wa mapenzi hayashauriki,unaweza ukawa busy kumpa ushauri kumbe washsameheana kesho akija mangumi yamemkole anarudi tena kutaka ushauriNaona watu tunamwaga ushauri na maswali kibao ya sintofahamu lakini mhusika mkuu katimua zake kwa kibabu.
Uko wapi UPENDO_20 uje ujibu maswali ya wadau?!