Unapenda jina la Jason hivyo ukampa mtoto wako au ulimpa kwasababu ya mapenzi yako kwa Statham?Yeah, nilimwita mtoto wangu Jason kwasababu ya huyu mtu, napenda sana jinsi anavyojua kucheza character yake kwenye movie ya aina yoyote
Mimi Idriss elbami kwa ROMAN REIGN Huniambii kitu.
Uuuh that man..he is hot... wit sexy body
Ni kweli kuna wanaume wanavutia duniani jamani wanawake wa mbele wana bahati sana
Hata kama...lakin ndio kibamia...maua sama alisema hakitaki..kiwe kitakatifu, angalau...vyote ni vibamia...tuHuyu hana kibamia kama anacho ni kile kibamia kitakatifu
Umetisha bestMungu alivyo wa wote...utakuta ana kibamia...na hapa ndio ninapo mpiga gape hyu..