Nampenda mke wangu mtarajiwa (Picha)

Nampenda mke wangu mtarajiwa (Picha)

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,116
Inshallah karibuni sasa nitapata MKE wa maisha yangu jana tumekamilisha taratibu za SEND OFF na sasa tunaelekea kwenye harusi. TAKBIIIIR.
 

Attachments

  • biHARUS1.JPG
    biHARUS1.JPG
    69.3 KB · Views: 7,154
  • biharus1 (2).JPG
    biharus1 (2).JPG
    70.1 KB · Views: 6,797
kunakitu nataka nimkumbushe nioe namba zake



natania ru bana kila la kheri ndugu
 
huyu mdada kama kadada Fulani ka Dodoma.
jina nimemsahau kama ni yeye hongera.
 
Mkuu unajiandaa na mahakama ya kadhi nini? maana nasikia yenyewe ukikutwa unazini (kwa wasiooa) unapigwa mawe mpaka kufa.
 
Back
Top Bottom