Ndoa ni uvumilivu mkuu.Pamoja na kuwa katika dunia ya sasa imekuwa vigumu saana kumpata mwanamke au mwanaume ambaye ana tambuwa nafasi yake vizuri yaani kama ni mwanamke anajua mwanaume na mwanamke hawako sawa , kama walivyo kuwa mama zetu wa zamani
Lakini kuna mwanamke nimempata nilimtongoza kwa nia ya kutaka kula mawese tu ila kwa kadiri siku zinavyo kwenda huyu mwanamke ana ni vutia saana kwa tabia yake ni mwanamke mmoja mwenye tabia fulani ya kidini hivi mpaka najuta kabisa kumuona nyuma labda yeye ndo angekuwa mke wangu hivi
Kibaya nina mke na wala hajui maana nilimdanganya kuwa sijawahi kuoa kabisa mimi ni bachela ila nimenogewa kabisa
Mpaka hapa nilipo natamani mke wangu anichiti ili nipate sababu ya kumuacha nimechoka na mapenzi ya kesi kila kukicha
Dunia raha
Aisee
Aisee
Kama anaonekana mwenye dini mbona anazini?Pamoja na kuwa katika dunia ya sasa imekuwa vigumu saana kumpata mwanamke au mwanaume ambaye ana tambuwa nafasi yake vizuri yaani kama ni mwanamke anajua mwanaume na mwanamke hawako sawa , kama walivyo kuwa mama zetu wa zamani
Lakini kuna mwanamke nimempata nilimtongoza kwa nia ya kutaka kula mawese tu ila kwa kadiri siku zinavyo kwenda huyu mwanamke ana ni vutia saana kwa tabia yake ni mwanamke mmoja mwenye tabia fulani ya kidini hivi mpaka najuta kabisa kumuona nyuma labda yeye ndo angekuwa mke wangu hivi
Kibaya nina mke na wala hajui maana nilimdanganya kuwa sijawahi kuoa kabisa mimi ni bachela ila nimenogewa kabisa
Mpaka hapa nilipo natamani mke wangu anichiti ili nipate sababu ya kumuacha nimechoka na mapenzi ya kesi kila kukicha
Dunia raha
Hapa sasa. Umemaliza kila kitu. Kama ana akili, atapambanua.Kama anaonekana mwenye dini mbona anazini?
Nipe namba ya mkeo nimlePamoja na kuwa katika dunia ya sasa imekuwa vigumu saana kumpata mwanamke au mwanaume ambaye ana tambuwa nafasi yake vizuri yaani kama ni mwanamke anajua mwanaume na mwanamke hawako sawa , kama walivyo kuwa mama zetu wa zamani