MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
Soon itakuwa inafika hadi mgororo na kibaoni beeee
hahhaa wahehe wakule jaman sipatii picha be !watapanda mameneja wa chai tu na maasistant tu ! ifikebe inishushe mtwango mie
Soon itakuwa inafika hadi mgororo na kibaoni beeee
Niliposoma kichwa cha habari haraka haraka nilidhani anagajwa mbutananga??
![]()
Duuh ni manini vile...matoko, mathrogho
Mmenogesha kweli kweli na kilugha chenu kigumu ...
Aisee mkuu shemeji kwa nani tena?
Mimi nipo uheheni hapa mwaka wa tatu tu, naishia kujua kamwene nofuwelakihehe nui kirahis sana !kuliko kisukuma ! nawapenda sana wahehe jaman !

Yeah mkuuMkuu, umenichekesha, nilijua uta react .... ha ha ha!!!!!