Nampenda lakini sina maisha

Sahihi mkuu, Acha nipambane.. lakini kwa wakati huu nifanye Nini mkuu? Nimtafute nauli au nikomae nae tu?
Kama unajiamini na pambana ukiwa naye mpaka kieleweke...ukiamua arudi kwao ndio imeisha hiyo usimiwazie sana ila endelea kupambana uweke maisha yako sawa utoke hapo kwa wazazi....ndio unakua sasa
 
My son inakupasa uwe very determined na maisha kiasi ya kwamba usiyape nafasi mapenzi. Ukiachana nae utakua Safe side zaidi

Wewe ni 27yrs old sasa sio 26 huu ni mwisho wa mwaka
 
Hebu msaidie nauli mtt wa watu arudi kwao acha kuamua kwa kutumia nyege zako ,najua kuna ugumu maana ma beki tatu huwa wanatoa mbususu for free sasa utakua unawaza akisepa na ww huna kaz mbususu za kulipia utaziweza
Hahahaaa, Brother sihofii kuhusu utelezi na mbususu ya bure, niliamua kupiga chini manzi wangu wakali ili nimfanye huyu binti kuwa mke, Huyu binti Ana sofa Zote za kuitwa mke, ndio maana nilitaka niwe nae
 
My son inakupasa uwe very determined na maisha kiasi ya kwamba usiyape nafasi mapenzi. Ukiachana nae utakua Safe side zaidi

Wewe ni 27yrs old sasa sio 26 huu ni mwisho wa mwaka
27 sahihi, lakini nahisi nimechelewa hata kuwa na mtoto, kuwa na permanent relationship ya kufanya maisha.. kifupi kumpata mwanamke wa Viwango vya huyu binti Ni nadra Sana hapa mjini niliwaza hili lakini Ugumu wa maisha nadhani utaniachanisha nae
 
Vuta mali ndani itakufungua akili hio na ukitaka kununua vitu usinunue godoro kwanza anza na kitamda ili ukilala chaga zikuumize upambanie godoro

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Kuhusu vitu vya ndani tayari ninavyo, Kitanda, Godoro, Sofa na vingine vidogo vidogo, Ishu Ni kwamba tu Sina mchongo wa uhakika wa kunifanya Ni survive na mtoto wa mtu
 
Hebu msaidie nauli mtt wa watu arudi kwao acha kuamua kwa kutumia nyege zako ,najua kuna ugumu maana ma beki tatu huwa wanatoa mbususu for free sasa utakua unawaza akisepa na ww huna kaz mbususu za kulipia utaziweza
😂😂😂😂😂😂😂😂 mbususu ya “Duty Free” inayeyaaaa!
 
Kama ni wa huku Mwanza na ukimwachia arudi huku na akanikuta mimi mjuba, mkulungwa jobless mwenzio hesabu maumivu yaani umekwisha, namaanisha you have kwishney..
 
Dada au kwenu hamuhitaji msaidizi wa ndani?
 
Dar mbn issue ni nyingi za kufanya alafu nilicho gundua watu wa Dar niwabunifu balaa yaani mguu wa kuku unasokomezwa kwenye kichwa cha kuku kinauzwa jero [emoji23][emoji23][emoji23], tena hiyo ni modified maana mwaka juzi nilivyo kuja likizo nilikuta different kabisa mguu wa kuku unauzwa separate na kichwa sasa wame modify na hao ni wanaume wanapambana sasa wewe na miaka 26 bdo upo nyumbani tu mkuu?

Tafuta mishe ya kufanya hata kuuza miguu ya kuku, ikiwezekana uza hata manyoya na uishi na huyo mwanamke vitu vitajiset na utapata michongo bila kutalajia over.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…