Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 5,868
- 6,480
- Thread starter
- #341
kazi ni kazi na mapenzi ni mapenzi, me najijua ni changamotto gani nimepitia hadi kufika hapa nilipo sasa, sizani kama naweza kuna zumbu kuku kiasi hicho!!Aiseee chapa kaz chalii angu, siku unagonga asbui yake anakupigia "sweety mtumie m3 ile naomba natumaga sn ela ako nakuja mda sio mlefu" Akikufata utaniambia na apo ndo unahamisha kijiwe
Sent using Jamii Forums mobile app