jamaa povu limekutoka kama umenichangia mtaji aseee!!Fala kweli wewe.. Wewe upo kwenye banda lako la m/pesa umejuaje kuwa anajielewa au hana muda na watu! Sema na muda wewe, akifika kwenye kibanda chako anaweka hela au kutoa na kusepa.. Ana muda sana na hao wanaompa hela.. Ngedere kweli wewe, mwelezi hisia zako, kama na hivyo vikamisheni unavyopewa huko voda au tigo havijayeyuka..
fanya kazi mdogo wangu
kwa mfano nachukuaje!!?namba wanachukua kijanja mkuu we tumia akili
Kwa umri huo hamna mtu ambaye hana mtu, chakufanya ajaribu kuovertake tuu.Fuatilia kama ana mtu, ukigundua hana fanya fasta kumtongoza acha uoga we ni mwanaume.
we uki overtekiwa utajisikiaje mkuu?Kwa umri huo hamna mtu ambaye hana mtu, chakufanya ajaribu kuovertake tuu.
na huo ndio mpango mzima.. yaani ni hivi me hata sijari sasa, na mda wake wa kuja umewadia!!Kwa umri huo hamna mtu ambaye hana mtu, chakufanya ajaribu kuovertake tuu.
Nishafanyiwa hivo siku nyingi mkuu. Hamuwezi kuplay fair wote mkuu.we uki overtekiwa utajisikiaje mkuu?
mbona kawaida, hii inatutokea @ siku, ndo maana ukipata mnyonge wako na ww mnyonge kweli kweli..!!we uki overtekiwa utajisikiaje mkuu?
Jino kwa jino,Nishafanyiwa hivo siku nyingi mkuu. Hamuwezi kuplay fair wote mkuu.
wenye maneno kama yako huwa namashaka nao kama kweli wanadi..sha ama mwenzangu c riziki!!Harakati za kipimbipimbi
mbona kawaida, hii inatutokea @ siku, ndo maana ukipata mnyonge wako na ww mnyonge kweli kweli..!!
Sent using Jamii Forums mobile app
habari wa JF,
kama kichwa cha habari hapo juu kinavyosema kuna dada mmoja kwa jina Nancy, ni mteja wangu wa nguvu ktk huduma za simu pesa(miamala). Kila siku lazima aje aweke/kutoa/kutuma si chini ya mil.3 hadi 5. sasa basi kutokana na jinsi alivyoumbika, rangi yake, sauti yake na jinsi alivyo mkarimu kiukweli nimempenda na naitaji awe wifi/shemeji yenu.
Lakini ninachohofia ni kuwa endapo nitamuelezea hisia zangu huenda atasusa kuja tena kunichangia miamala, ama akanichukulia kama mtu ninayetumia kazi yangu kujinufaisha/kuwarubuni wadada. Kiukweli ni mdada anaejielewa kaenda hewani, hana mda na watu yaani yupo busy na mambo yake.
Tangu nimejitambua sijawahi kumwogopa wala kuwa domo zege kwa mdada yeyote ila kwa huyu dada sijui tuu nimekuwaje.. ila hofu yangu kubwa ni kupoteza mteja ambae mchango wake ktk biashara yangu ni mkubwa mno..
Ushauri jamani kipi nifanye kwa huyu bi dada, nijitose tu liwalo na liwe ama nijizuie ili nisipoteze uteja nae??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini wakiwaga na mafanikio au uchumi wa maana wanaonekana kama makauzu vile unaweza shindwa kumfahamu kiundani