Nina mpenzi wangu nampenda sana , ila tatizo kubwa lililopo ni kwamba huko nyuma niliwahi kumsaliti na alinisamee tukaendelea na maisha, lakini toka amenisamee amekua ni mtu mwenye hasira na kuwahi kupaniki hata kwa sababu zisizo na msingi. Inafikia wakati ananiambia kama vipi tuachane coz mapenzi yameisha, ila akikaa siku mbili anakuja kwangu ananiomba msamaha huku akilia na kuniambia ananipenda sana. Kiukweli hali hii imekua ikijirudia mara kwa mara mpaka imekua kero kwangu hadi nahisi mapenzi yameanzakupungua na siku zinavyokwenda naweza kumwacha kabisa,ila sitaki tufike huko. Msaada tafadhari nini nifanye ili niweze kuweka mambo sawa .
Well said Navoyne, mtengane kwa muda pasi mawasiliano yoyote then after say a month mkutane mfanye tathmin ya uhusiano wenu and mtadecide whether to continue au kuseparate.
Siku zote si kila anayeogopa unyasi unapotikisika ameshawahi kuumwa na nyoka.Mkuu Miwatamu binafsi nina experienc ndogo ktk mapenzi mie kwa sehemu kubwa ni mtazamaji japo nimewah kuwa kwenye uhusiano,smtms naobserve kwa watu wa karibu