mashakaDaima
Member
- May 3, 2013
- 38
- 5
Kiukweli kuna dada anatesa sana roho yangu na ninahisi kupoteza matumaini ya kuishi.
Ni mara chache sana kwa mutu kutokukata kwa kitu anachokihitaji lakini kwangu mimi nahisi kukata tamaa kabisa kwani jitihada zangu zinaelekea kugonga mwamba kwani furaha ya moyo wangu inapotea kwa huyu dada kuisumbua nafsi yangu.
Je ni ipi suluhu hasa kwa mtu unayeonesha upendo wa dhati na anakukataa kabisa