Nampenda ila simuelewi

Kula kona, fanya yako. Sio kila mwanaume anapenda kubembelezwa sana, akifanya maamuzi ndio basi, hakuna kurudi nyuma. Anaweza pretend kuwa hakuna tatizo ila baadaye akaja kukumwaga mzima mzima mchana kweupe!!! yeah ndivyo wanaume tulivyo. Sasa bora na wewe umkaushie, kama anakupenda kweli atakutafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mara ugomvi unakurupua unanitukana mimi

Hata zawadi nikikuletea hausemi asante

Tena nashare hata bila kujua we hulidhiki kwa nini

Kuna wakati nilijisumbua mwenzangu usiwaze

Kwangu moyo we unauchanganya ah

Umekuwa kivuruge unavuruga sana baba wee

Kitu gani kwako mi sijafanya, eeh eeh

Ama kuna mtu mnapendana sana



Leo sina thamani ndo mana

Unawafata ma-sister-du oh baba

Leo sina thamani eeh ndo mana

Unawafata ma-sister-du oh baba

We niache ee



Nitapona mdogo mdogo nitapona (niache)

Nitapona mdogo mdogo nitapona (nitapona kidogokidogo)

Nitapona mdogo mdogo nitapona (nitapona mi)

Nitapona mdogo mdogo nitapona

Aiyoyoiyoooh

(Nandy - Kivuruge)
 
MVUMILIE
 
Vipi ikitokea Huyo atakaye kuja kumpenda asitokee atafanyaje, binadamu tumekuwa selfish sana yan kila MTU anaona yeye ndo anatakiwa apendwe na kushobokewa ..ndo maana r/ships zinazidi kuwa completed sababu ya ubinafsi

From profile picture to proper future
 



From profile picture to proper future
 
Hvi darasa linaanza lini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan bna mi nimeshindwa kukupa ushauri ambao ni straight,, nimeandika sana na kufutafuta mara kibao, maana sasa watu wema huangukia mikono isiyo sahihi, mikono sahihi huangukia kwa watu vichaa, viburi, vichwa maji, dont care, etc..


Ila mwanaume ukiona kakuruhusu ukachepuke ujue hiyo ni setup (trap) anatafta reasonable fact ili akufutilie mbali,kwanza inadhihirisha kua hakupendi yan live and direct haku-feel, mana mwanaume perfect kwa mtuwake hawezi tamka maneno ya vile, kingine sisi wanaume tunaumizwaga na kitu kushea na mtu,,,

Ila (power of love drives person's emotions)

Love is the only unique thing that travel kilometers of miles,, kwahyo jiongeze, ukiona mtu ana kiburi ujue kuna kitu champa kiburi,,,,


*Uonapo manyoya uje kuna ndege kaliwa*

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jiandae kisaikolojia maana yajayo sidhani kama yatakufurahisha.
 
Jiongeze mimi sikupi pole tumia ubongo wako kujiongeza tafutamwenza mwingine mbona tuko wengi wenye mapenzi ya dhati
 
Endelea na wewe na mambo yako mama
Ukimuwaza Sana mwanaume utakonda bure,Kama Ni rizki yako itakuwa tu,,km si yako Basi haitakuwa



Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…