Nampenda ila simuelewi

Nimeipenda huo ndio ukweli
 
Wanawake Mungu tuongee huruma.
1: mwanaume anaekupenda hawezi kumaliza Siku mzima bila kukutafuta, SMS or call ikitokea Siku ikapita basi next day atakwambia why.

2: huyo mshenzy hakupendi ana mwanamke mwingine wewe kakupeka spare tire, akiachwa aje kwako.
3: kwa nini ulikubali kupata mimba kwa MTU kama huyo? Hii itakukost sana hata kama ilitoka.
4: ruhusu mwanaume mwingine atakae jua thamani yako.

5: kuna mwanaume ambae atakupenda atakupa priority kwa kila kitu, asubuhi,mapema gudmorning Darling,? I miss u, I love u, oh baby I miss u soo much, next weekend take a flight come and see me😂❤💞 😂😂and tell me how much😂 afu spendi unavyokosa hewani ujue? Mm Niko busy ila napokutafuta sitaki kabisa ukose hewani.

Ahaaaa huyo ndio mwanaume utakae mpaka themaaa amina
 
Well said...

From profile picture to proper future
 
Hapo ni kwamba tu jamaa anashindwa kukwambia uendele na maisha yako kwa kuogopa kukuumiza kwa kuwa mmetoka mbali na pengine anajisikia kwa namna fulani yuko "responsible" kwa kipindi mlichokuwa wote. Ila kwa mimi huo uhusiaon kwa 95% ushakufa mmebaki marafiki tu hapo.
 
Uko sahihi kwa asilimia nyingi

From profile picture to proper future
 
Wanawake wana amini kuwa yule mwanaume ambaye anakua anawajulia hali kila SAA ndo mwenye mapenzi ya dhati lakini ,wanasahau kuna aina ya wanaume wako nyuma kidogo kwenye mawasiliano, yeye akiwa kazini anakua haendekezi sana mawasiliano

From profile picture to proper future
 

Naomba ufuate huu ushauri, naunga mkono hoja.
 
Watu wengine kwa kujiumiza mpaka utupiwe virago nje? Penda upendwapo usilazimishe mdada hapo kuna mwingine, embu tulia uguza kidonda chako anza na maisha yako akikaa kimya embu nawewe kaa kimya uone kama utapata pressure usilazimishe mapenzi utaumia mwenyewe embu jaribu ku move out fanya yako atakuja akupendaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duniani watu wangekuwa sio waelewa kama wewe vita visingeisha hapo hupendwi wala hutakiwi ....unasubiri mimba tena ya kulazimisha, jiongeze
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…