Nampenda ila simuelewi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta uzi soma hapa!...,
 
Ndo hivyo umependa lakini hujapendwa so jifunze kusahau na kuanza upya.let the guy be!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amekufundisha mambo mengi kama yapi??Chukulia pia na hili ni fundisho pia
 
Zingatia alichokisema Bulaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani ungevaa viatu vyangu ungejua sababu kila nikitaka kumove on inashindikana yeye hata mkigombana mwishoni atakwambia nakuhitaji sitaki nikupotezee,sijui hata nikuelezaje but inachosha

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kudate na mwanaume mmoja yuko kama huyo, akikutafta asubuh imetoka mpaka jioni tena saa zingine umuanze ww hapa kati ukimcheki anajibu short nipe lksaa nipe nusu saa and all that nakiri nilimpebda sana sana lakini matendo yake yalinichosha ni kama wako, akiwa na watu pembeni anadai ananipenda, mwenyewe anambiakama wewe uambiwavyo, ni kiasi cha kuchukua maamuzi tu, anashindwa kukuambia sikutaki jiongeze girl! Huhitaji hata kupapasa amua sasa kila jambo linawezekana hasa ukiamua kwa dhati, kuachana na mtu ambae moyo wako bado umemhifadhia nafasi inauma ila huwez kulazimisha hisia wala mtu akupende unavyotaka, kubali kumove on

Nilijiambia hivi mpaka lini? Mapenzi haya mpaka wapi nikasema enough, na nikaweza kwa nn wewe ushindwe? Utakuja kumpata mwanaume mwengine hii energy unayoipoteza kwake itarudi utapata tu chaguo lako huyo kubali sio uliepangiwa nae
 
Hakupendi huyo ebu angalia ustaarabu mwingine inauma sana lakini utakuja msahau tu sijui mijanaume ya hivi ipoje kutesa mioyo ya wengine pole mwaya
 
Hiv unampendaje mtu ambye humwelew?? Smh 🤦‍♂️


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…