Yani ungevaa viatu vyangu ungejua sababu kila nikitaka kumove on inashindikana yeye hata mkigombana mwishoni atakwambia nakuhitaji sitaki nikupotezee,sijui hata nikuelezaje but inachoshaWw ndio hujielewi mapenzi hayalazimishwi dada
Kwanza pole na matizo, pili kumbuka sisi wanaume tuna hali ya kuwakifu wanawake kwa kiasi flan pale unapokuwa nae kwa mda tena hasa linapokuja suala la kujua kuw mwanamke ananipenda kwa % kubwa, nakushauri uwe mvumilivu ili baadae uje ufumbuz wa jambo lako.. kingine kujionyesha ni mdhaifu kwa mwanaume kuwa unampenda ni sawa na kujiandalia siraha ambayo baadae itakuja kukuripua mwenyew, naww jifanye upo busy na kutokuwa serious nae ili ajue hautishik sana kwa ukimy wakeHabari zenu wana jf,kama hapo juu panavyosomeka,Nilianza naye mahusiano mwaka 2017,tumekuwa wote kwa mwaka na miezi kadhaa
Mwaka jana mwenzi wa 10 nilipata mimba na wakati huo hatukuwa kwny mahusiano mazuri,lakini tuliongea akasema kwamba tupo wote sababu ya mimba,nilipata stress sana sababu sipendi nije kuwa na watoto wa baba tofauti,stress ambazo kwa kiasi kikubwa zilipelekea nikapata miscarriage, kipindi chote cha mimba mpka miscarriage alikuwa ananisupport kwa asilimi kubwa na pia upendo baina yetu uliongezeka kiasi fulani japo siwezi jua kama upendo wake ulikuwa unamaanisha,baada ya mimba kuharibika nikarudi nyumbani Mkoani kwa family issues,
Wiki ya mbili za mwanzo toka nije mkoani mawasiliano yalikuwa mazuri tu,wiki ya tatu baadaye mawasiliano yakapungu nisipomtafuta hanitafuti na akinitafuta ananilaumu kwanini simtafuti,na mimi kama binadamu sikupenda nikamwambia tu kwamba ww unataka utafutwe tu na unajitia busy,tuligombana sana baada kama ya siku mbili akaniambia kwakuwa siku za wiki yuko busy then tutafutane weekend atatenga mda kwa ajili yangu sikutaka kubishana naye,weekend ikifika bado anakuwa busy nikamwambia kama huwezi kunipa mda hata weekend basi unitafute ukijisikia akasema nampangia,yeye ashasema atanitafuta weekend,sikutaka kubishana naye nikamwambia tu kwny mahusiano mawasiliano ni jambo la kwanza hasa ukizingatia mimi na wewe tuko basi ikiwa kama nimeanzisha ugomvi tukagombana sana,mpka akaniambia kwamba ananipa ruhusa niwe na mwanaume mwngne ili tu nione kama mahusiano yapo kama nnavyodhani nayeye nafasi yake nimuachie palepale anataka tu nipate experience,
Kiukweli nampenda sana lakini kwa hii kauli yake nipo njia panda nahisi hata upendo wangu kwake unapungua kila siku na sitaki kumpoteza ni mtu ambaye amenifundisha mambo mengi na anamchango mkubwa kwenye maisha yangu ukitoa familia marafiki,
Jamani nifanyeje ili huu usiano uendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ungevaa viatu vyangu ungejua sababu kila nikitaka kumove on inashindikana yeye hata mkigombana mwishoni atakwambia nakuhitaji sitaki nikupotezee,sijui hata nikuelezaje but inachosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofaut kat ya kulazmisha na kum-care mpenz wako, kama umemfuatilia vzr huyu mdada anadai pale anapoambiwa kuwa mwanaume atamtafta bas anaelew, sijaona sehem ambayo amem-force bwana akeWw ndio hujielewi mapenzi hayalazimishwi dada
Hujachoka bado mpendwa siku ukichoka hata hayo maneno yake hayatakushtua hata kidogo.Yani ungevaa viatu vyangu ungejua sababu kila nikitaka kumove on inashindikana yeye hata mkigombana mwishoni atakwambia nakuhitaji sitaki nikupotezee,sijui hata nikuelezaje but inachosha
Sent using Jamii Forums mobile app
pengne huwez jua lkn cc wanadam tukijua unapendwa ndo sehem ya kulipza kisasi kama ulishaga wah kuumizwa huko nyumaPole sana, ila kwa ulichoandika hapo juu huyo mwanaume hakupendi tena, na ukilazimisha kuwa naye basi kaa ukijua utalia siku zote.
Najua inaweza ikawa ngumu kuelewa, ila ulivyoandika ni wazi kabisa hakupendi na anakuona kama mzigo kwake ambao hajui aupeleke wapi.
Jiandae kisaikolojia Ku move on.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Anashawishika kwa rang ya chai badala ya radha!!Hujachoka bado mpendwa siku ukichoka hata hayo maneno yake hayatakushtua hata kidogo.
pengne huwez jua lkn cc wanadam tukijua unapendwa ndo sehem ya kulipza kisasi kama ulishaga wah kuumizwa huko nyuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuomba uje PM siku nyingi hujaja, ona sasa yanayokukuta? Unweza kuwa demu wangu ujueHabari zenu wana jf,kama hapo juu panavyosomeka,Nilianza naye mahusiano mwaka 2017,tumekuwa wote kwa mwaka na miezi kadhaa
Mwaka jana mwenzi wa 10 nilipata mimba na wakati huo hatukuwa kwny mahusiano mazuri,lakini tuliongea akasema kwamba tupo wote sababu ya mimba,nilipata stress sana sababu sipendi nije kuwa na watoto wa baba tofauti,stress ambazo kwa kiasi kikubwa zilipelekea nikapata miscarriage, kipindi chote cha mimba mpka miscarriage alikuwa ananisupport kwa asilimi kubwa na pia upendo baina yetu uliongezeka kiasi fulani japo siwezi jua kama upendo wake ulikuwa unamaanisha,baada ya mimba kuharibika nikarudi nyumbani Mkoani kwa family issues,
Wiki ya mbili za mwanzo toka nije mkoani mawasiliano yalikuwa mazuri tu,wiki ya tatu baadaye mawasiliano yakapungu nisipomtafuta hanitafuti na akinitafuta ananilaumu kwanini simtafuti,na mimi kama binadamu sikupenda nikamwambia tu kwamba ww unataka utafutwe tu na unajitia busy,tuligombana sana baada kama ya siku mbili akaniambia kwakuwa siku za wiki yuko busy then tutafutane weekend atatenga mda kwa ajili yangu sikutaka kubishana naye,weekend ikifika bado anakuwa busy nikamwambia kama huwezi kunipa mda hata weekend basi unitafute ukijisikia akasema nampangia,yeye ashasema atanitafuta weekend,sikutaka kubishana naye nikamwambia tu kwny mahusiano mawasiliano ni jambo la kwanza hasa ukizingatia mimi na wewe tuko basi ikiwa kama nimeanzisha ugomvi tukagombana sana,mpka akaniambia kwamba ananipa ruhusa niwe na mwanaume mwngne ili tu nione kama mahusiano yapo kama nnavyodhani nayeye nafasi yake nimuachie palepale anataka tu nipate experience,
Kiukweli nampenda sana lakini kwa hii kauli yake nipo njia panda nahisi hata upendo wangu kwake unapungua kila siku na sitaki kumpoteza ni mtu ambaye amenifundisha mambo mengi na anamchango mkubwa kwenye maisha yangu ukitoa familia marafiki,
Jamani nifanyeje ili huu usiano uendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini**
Cc=sisi**
Ndo=ndiyo**
Ulishaga= ulishawahi
Unaweza kuwa na point ila jaribu kuandika vizuri.
The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
Hakuna mahusiano ya kimapenzi ya hivyo.....soma ramani vizuri mdogo wangu hamuwezi kuwa kwenye mahusiano mtu akose muda wa kuongea na mwenza eti yuko bize hadi kitandani anapokwenda kulala??? Usubiri muwasliane wkend.....hiyo haipoHabari zenu wana jf,kama hapo juu panavyosomeka,Nilianza naye mahusiano mwaka 2017,tumekuwa wote kwa mwaka na miezi kadhaa
Mwaka jana mwenzi wa 10 nilipata mimba na wakati huo hatukuwa kwny mahusiano mazuri,lakini tuliongea akasema kwamba tupo wote sababu ya mimba,nilipata stress sana sababu sipendi nije kuwa na watoto wa baba tofauti,stress ambazo kwa kiasi kikubwa zilipelekea nikapata miscarriage, kipindi chote cha mimba mpka miscarriage alikuwa ananisupport kwa asilimi kubwa na pia upendo baina yetu uliongezeka kiasi fulani japo siwezi jua kama upendo wake ulikuwa unamaanisha,baada ya mimba kuharibika nikarudi nyumbani Mkoani kwa family issues,
Wiki ya mbili za mwanzo toka nije mkoani mawasiliano yalikuwa mazuri tu,wiki ya tatu baadaye mawasiliano yakapungu nisipomtafuta hanitafuti na akinitafuta ananilaumu kwanini simtafuti,na mimi kama binadamu sikupenda nikamwambia tu kwamba ww unataka utafutwe tu na unajitia busy,tuligombana sana baada kama ya siku mbili akaniambia kwakuwa siku za wiki yuko busy then tutafutane weekend atatenga mda kwa ajili yangu sikutaka kubishana naye,weekend ikifika bado anakuwa busy nikamwambia kama huwezi kunipa mda hata weekend basi unitafute ukijisikia akasema nampangia,yeye ashasema atanitafuta weekend,sikutaka kubishana naye nikamwambia tu kwny mahusiano mawasiliano ni jambo la kwanza hasa ukizingatia mimi na wewe tuko basi ikiwa kama nimeanzisha ugomvi tukagombana sana,mpka akaniambia kwamba ananipa ruhusa niwe na mwanaume mwngne ili tu nione kama mahusiano yapo kama nnavyodhani nayeye nafasi yake nimuachie palepale anataka tu nipate experience,
Kiukweli nampenda sana lakini kwa hii kauli yake nipo njia panda nahisi hata upendo wangu kwake unapungua kila siku na sitaki kumpoteza ni mtu ambaye amenifundisha mambo mengi na anamchango mkubwa kwenye maisha yangu ukitoa familia marafiki,
Jamani nifanyeje ili huu usiano uendelee
Sent using Jamii Forums mobile app
Binti wahenga walipata kunena kuwa "matendo hukidhi maridhawa kuliko maneno"Yani ungevaa viatu vyangu ungejua sababu kila nikitaka kumove on inashindikana yeye hata mkigombana mwishoni atakwambia nakuhitaji sitaki nikupotezee,sijui hata nikuelezaje but inachosha
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna tofaut kat ya kulazmisha na kum-care mpenz wako, kama umemfuatilia vzr huyu mdada anadai pale anapoambiwa kuwa mwanaume atamtafta bas anaelew, sijaona sehem ambayo amem-force bwana ake
Sent using Jamii Forums mobile app