Nampenda ila nimechoka kung'atwa nifanyeje?!

KooZito

JF-Expert Member
Dec 14, 2020
396
1,377
Wadau, ni takriban miezi mitatu nimeingia kwenye date na pisi moja hivi. Bibie ni mkali sana kiukweli na nimemmendea kwa almost miezi minne.

Lakini nina shida moja, demu yuko vizuri sana kwenye sita kwa sita. Ni balaa. Tatizo ni moja tu, akifika kileleni, akitaka kuachia mzigo lazima aning'ate kiasi cha kunitoa mchezoni.

Hapa niandikapo mabega yangu yanauma ni vidonda. Jana nikabadili staili, ikawa ni "chuma mboga" ili niwe mbali na mdomo wake lakini wapi, alipofika tu kileleni sijui ilikuwaje akakamata mkono wangu wa kulia dole gumba akang'ata, ni kidonda sasa. Nifanyeje?

Cha ajabu baada ya game hujuta sana na kujisikia vibaya kiasi cha kulia na kuniambia, "nisamehe baby, huwa sijielewi wala sijui ninakung'ata, nisamehe, nivumilie sijui ni nini mpenzi wangu" machozi yanamtoka.

Nampenda lakini nikihisi tu sex naye nakumbuka kung'atwa. Nahama hisia, nifanyeje??? Mwili unauma.
 
Huo ndo utamu wenyewe mkuu🤣🤣🤣🤣, tunaingia na thread zisizotuhusu🤣🤣🤣

Funika barakoa fanya yako, ujue hizi pisi mwaisa zinachanganya
 
usije ukajisahau siku ukampa anyonye tango ataliuma afu ubaki shaba ranks
 
Sikujua
Kuna mpuuzi alishauandika huu ujinga humu. Mnasikiliza stori vijiweni mnakimbilia kuzileta humu ambianeni nani atakayepost ili msirudie ujinga same.
Lakini binafsi linaniyokea ndg yangu, naumia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom