Nampenda ila nimechoka kung'atwa nifanyeje?!

Mvalishe hii, kwisha habari yake
images%20(2).jpg
 
Wadau, ni takriban miezi mitatu nimeingia kwenye date na pisi moja hivi. Bibie ni mkali sana kiukweli na nimemmendea kwa almost miezi minne.

Lakini nina shida moja, demu yuko vizuri sana kwenye sita kwa sita. Ni balaa. Tatizo ni moja tu, akifika kileleni, akitaka kuachia mzigo lazima aning'ate kiasi cha kunitoa mchezoni.

Hapa niandikapo mabega yangu yanauma ni vidonda. Jana nikabadili staili, ikawa ni "chuma mboga" ili niwe mbali na mdomo wake lakini wapi, alipofika tu kileleni sijui ilikuwaje akakamata mkono wangu wa kulia dole gumba akang'ata, ni kidonda sasa. Nifanyeje?

Cha ajabu baada ya game hujuta sana na kujisikia vibaya kiasi cha kulia na kuniambia, "nisamehe baby, huwa sijielewi wala sijui ninakung'ata, nisamehe, nivumilie sijui ni nini mpenzi wangu" machozi yanamtoka.

Nampenda lakini nikihisi tu sex naye nakumbuka kung'atwa. Nahama hisia, nifanyeje??? Mwili unauma.
Duniani pamejaa vituko. Na kwanini usijiengeze maarifa anapoanza kupandisha "munkari" mlishe nguo zake au chuka mliotaka kujifunika.... Kutafuta raha kwenyu kumegeuka kua karaha....
 
Hiyo pisi yako itakuwa vampire tena wale dracula, valisha helmet huyo...

Wewe endelea kumpa mitano tena, siku akunyofoe mjegeje
 
Ipo siku atang'ata kibao chako atoke na nyama akateme huko nje, achana naye huyo anapepo mchafu KABLA ya kukutoa uume wako
 
Wadau, ni takriban miezi mitatu nimeingia kwenye date na pisi moja hivi. Bibie ni mkali sana kiukweli na nimemmendea kwa almost miezi minne.

Lakini nina shida moja, demu yuko vizuri sana kwenye sita kwa sita. Ni balaa. Tatizo ni moja tu, akifika kileleni, akitaka kuachia mzigo lazima aning'ate kiasi cha kunitoa mchezoni.

Hapa niandikapo mabega yangu yanauma ni vidonda. Jana nikabadili staili, ikawa ni "chuma mboga" ili niwe mbali na mdomo wake lakini wapi, alipofika tu kileleni sijui ilikuwaje akakamata mkono wangu wa kulia dole gumba akang'ata, ni kidonda sasa. Nifanyeje?

Cha ajabu baada ya game hujuta sana na kujisikia vibaya kiasi cha kulia na kuniambia, "nisamehe baby, huwa sijielewi wala sijui ninakung'ata, nisamehe, nivumilie sijui ni nini mpenzi wangu" machozi yanamtoka.

Nampenda lakini nikihisi tu sex naye nakumbuka kung'atwa. Nahama hisia, nifanyeje??? Mwili unauma.
Itabidi uache kumfikisha kileleni ili asiwe anakutafuna!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom