Habari wakuu....
Huyu dada amekuwa rafiki yangu kwa kipindi cha muda mrefu huku tukijaribu kusaidiana kwa vitu vingi na urafiki wetu ulikuwa kama Tupo kwa mahusiano jambo la kunishangaza muda si mfupi mimejaribu kumwambia ukweli ya kuwa nampenda ameshindwa kunielewa hata na kunipa sababu zake....
Wakuu naombeni ushauri nifanya nini ili aweze kunielewa kwa kuwa nimetokea kuvutiwa nae sana sana