Nampenda ila hanielewi.....

Kasie njoo huku mummy umshauri huyu kijana

Mwambie aachane nae.

Hakuna raha kama kupenda unapopendwa. ... yaani unakuta wote mnapendana, mko marafiki, mnataniana, mnachokozana yaani mnakuwa zaidi ya life partners. ...... na hii package haiji rahisi rahisi. .... rarely it happens like Kasie and her dadii sometimes one have to build an empire.

Kasie Matata.
 
Watu wanalia vyuma vimekaza wewe unalia mapenzi!!......Dunia haiishi maajabu!
 
Anza kuvuta bangi na kulala Bar kwa ajili yake atakuja tu mwenyewe pia usisahau kubet.
 
Hahahaaaa,,,,,nasema nimechelewa sana kumsoma Huyu kasie humu jf
 
Mdanganye atakuelewa tu.Sisi bila kudanganywa ahadi kubwa kubwa huwa hatuelewi
 
Sababu gani anatoa??
Komaaa ndio fursa hiyo, hicho ndicho kiwanda
Punguza mautaki juu yake, kuwa serious nae
 
Haya sasa maigizo huwa muda wa kufanya yote haya unatoka wapi?

Huo muda wa kumtoa mtu na usawa ulivyokaba unatoka wapi?

Hizi tamthilia za kifilipino hizi shughuli sna
 
Utanidanganya siku nyingine.
Naomba iwe leo kama hutojali, nipe nafasi japo roho yangu isuuzike mimi sio wale waliokudanganya na kukuacha na majeraha moyoni, nimebarikiwa rundo la mahaba ambayo kila nikitazama wa kumpa sioni ninaona ni bahati sana kama utakubali kunipokea na kunipa uhakika wa nafsi yangu kwako.

Nataka uwe mke mwenye ndoa yangu kila asubuhi nijivunie sana uwepo wako chumbani kwangu, tena utoe sauti adimu mithili ya kinubi kipigwacho juu ya kilima chenye upepo murua, nakupenda sana Nakuhakikishia amani ya moyo itakuwa nawe kila ukitafakari penzi letu, NIPE NAFASI.
 
mtumie hela mwenyew atakuelewa ubahili umekuzidi unasubiri akuombe?jiongeze fanya kama unacheza biko
 
Sio kila kitu unacho kipenda lazima ukipate
 
wee jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…