Nampenda ila hanielewi.....

Mlolongo mrefu sana huu,anyway ngoja tumtakie kila la kheri huyu jamaa!!!
 
Ulikosea toka mwanzo ungemla mapema kabisa ndio muendeleze urafiki. Saiv anakuona kama kaka yake tu
 
Mwambie Ukweli. Akizingua zima data. Akijisogeza mkimbie kidogo. Atakumiss. Akikubembeleza mpe sentensi za mapenzi. Akizingua tena zima data. Atakuona uko serious. Atakuhitaji tena. Show yako sasa...
Nimekupata mkuu
 
Peleka salaryslip
Nenda kwao tangazania
Hii december kodi inaisha we lipa bila kuambiwa
Akikataa we hata ugombee ubaloz hupat
 
Hata kama haukunishauri mimi ila ushauri wako umenijenga hata mimi pia. Mkuu nakushukuru maana kuna vitu nimejifunza kutoka kwenye coment yako.thanks
 
Hapo ndo ulikosea ..mwanamke ukishampa mazoea ya kiurafiki naye anakuchukulia ivo ivo nahutakaa umvue chupi.
Naulipokosea zaidi umeshamtongoza ,,, bora ungekuja kuomba ushauri mapema .

Jaribu kubadili gia ,,, kama weee nimjanja utafanikiwa .. Anza kumsifia kimapenzi penzi ,, tena kindan ndani ..sio uanze namiaibu oooooohhh.

*unajua ney ,nilikua navumiliaga tu ila kiukweli kiuno chako nahayo mapaja yalojaa looooo yananifanya kila siku niote nakutiiiii* .

Hapo unamwandaaa kiakili sasa anajua jamaa Tayar anafeeling zamapenzi namimi...wanawake wanapenda sana wajue km anakuvutia kimapenzi au lah.. Maana anaweza kua nimzuriiiiiiiii kwakila kitu ,,Lkn nature yao huwa hawajiamin km niwazuri mpaka aambiwe ,,sasa unapomwonyesha kakuvutia kimapenzi fasta sana unachukua mzigo.


...mkuuu unamiaka mingapi kwanza ??? Isije nikawa bado IPO shule man.
 
wanaume kwa mambo haya huwa hatutupani mkono hata siku moja
subiria maushaur ya kumwaga hapa halafu ujichagulie mwenyewe unalolitaka
 
Hakuelewi kwa kuwa, yule rafiki yako uliyemwonesha kwake juzi kati, ndiye kamvua nguo kwani upweke aliokuwa nao siku nyingi wewe ulimfanya dadako rafikiyo aliuona akachukua hatua. Sasa dadako anawaza, akufahamisheje kuwa rafikio ndo shemeji yako??
JF is too funny..
 
Mi mwanamke akinipotezea na mi huwa napotezea.ingawa mara nyingi huwa wanatikisa kibiriti upele lakin mi i don give a fwaak
 
Mwambie Ukweli. Akizingua zima data. Akijisogeza mkimbie kidogo. Atakumiss. Akikubembeleza mpe sentensi za mapenzi. Akizingua tena zima data. Atakuona uko serious. Atakuhitaji tena. Show yako sasa...
Hiv ushawah kumzimia data mtu unaempenda ww?...akisikiliza haki ya nan anapoteza mazimaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…