nampenda H.MDEE jamani !

Nitumie vocha nikusemee. Ni best yangu.
 
Ati UKIONA NDOTO ZAKO HAZIJATIMIA ENDELEA KULALA?
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hata mimi nimesoma na nina umri wa kutosha na kweli nimeona mengi na kwa sababu nimeona mengi sitakubali mwanaume asiye na pesa ahusiane na mimi nomba na Mungu anipitishie mbali.

mchagua nazi huambulia koroma........,
hope u wont be among them
 
Halima naye ana wake ampendaye
Mapenzi sometime dah!
all the best
 
Anza ni contact ambazo tayari zipo public! (just google): email; hmdee@parliament.go.tz au mfate twitter: '@halimamdee. Au ukitaka na simu yake ya mkononi ingia hapa: http://www.parliament.go.tz/index.php/members/mpcvs/1339/2010-2015.

Yeye pia ni member humu na nimemwona hapo chini akichungulia hii thread yako (sitakwambia ID yake ya JF)! Usiwasikilize wazushi wanaodai ati ni "mliberali":A S wink:. Kila la heri mkuu.
 

asante kaka!
 
Ha ha ha ha JF ina vituko hakuna tena..jamaa amepiga mistari sana Halima jitokeze
 
Wanaume sisi kwa ulongo tunatisha, mtu mmoja akaniambia uongo pia ni sanaa...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…