Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,671
- 167,734
Mi Wala Sikujui Ila Karoho Kananinyetua Dzyn Kama Naanguka Kwako
Ila Kwa Sasa Nasubiri Kama Umemkubalia MBWIGA
Sema Basi EVELYN jaman!
Unanirushia Mimi?
Halijanipata!
Nipo tayari kuwa spare tyre
Kama kakuona poa. Humu JF unaweza ukatongoza halafu siku ya kukutana unakuta ni dada ako wa tumbo moja.
Hamuogopi vitu vyenye ncha kali vinavyorushwa kutoka pande zisizojulikana....!!!
Tunaombana msamaha, maisha yanaendelea......!!!!!!
We EVELYN!!
Unajua Nasubiri Jibu Hapa?
Sema Basi Niondoke Zangu!
Amesema kishaniona!!!!!!!!
subira yako imekuponza sasa omba ata uwe spea taili
Hahaha naona kijana amependa mwandiko wa evelyne salt.
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
he he he nahisi hapa kuna "azima jamvi kabla hawajaomba wenzako".....
Mbona Hueleweki?
Inaonesha Unamkubali Ila Jibu Hunipi!
Kama Una Mashaka Ya Muonekano Wake ,
Mimi Nikutumie picha wakwanza Atakuwa Kajipatia Mchumba!
If u want to be successful in ol spheres of life always thnk positively
msaidie mtoto wa mwanamke mwenzio mwe!
Bado Hajatoa Jibu, Hivyo mshindi Hajulikani!