Jamani nimetokea kumpenda huyu dada...naomba ushauri wenu nitampataje? Please i need constructive ideas
Mbwiga88 hivi unajua humu ndani kuna wanaume wana IDs za kike na za kiume. Kuwa muangalifu usije ukakutana na mtu amening'iniza kengele kama wewe.
Amekuambia Washaonana!
Hivi kumbe kuna kudondokeana humu eh?? eti Evelyn Salt ??..mie najuaga masihara tu..lolz
Ila hawa wapiga kelele mara nyingi sio watongozaji..umesahau a barking dog seldom bites.....
nilijua umepotelea huko ikabidi nikuangalie..
nimewahi kumuona
Nasubiri jibu langu jamani.....Evelyn u are klng me kwa kwl
Shost Evelyn Salt unalooooooo!!!!!!!!!
Mbwiga88 hivi unajua humu ndani kuna wanaume wana IDs za kike na za kiume. Kuwa muangalifu usije ukakutana na mtu amening'iniza kengele kama wewe.
Looh! Nimefurahi zama za babu zetu zimerudi......Yaani kijana yupo mjini anapewa taarifa kwa barua za wazazi kuna mke kijijini na hajawahi kumwona ila anampenda na siku akirudi anamchukulia na zawadi. Let it be na msiniache kwenye kadi za harusi.
Sema "Tunasubiria Jibu"
Evelyn Salt mwambie akitaka iwe ndoa ya mkataba, jf ndoa siyo zaidi ya wiki moja.
mmmh jamani watu kwa kuingilia mambo ya watu!!! mapenzi watu wawili wa 3 mnafiki