Nampenda Evelyn Salt

Nampenda Evelyn Salt

Una hatari mwanangu Mbwiga88. Yaani unampenda mtu ambaye hata hujui utampata wapi! Hebu angalia wimbo huu huenda utapata jibu.
Jamani nimetokea kumpenda huyu dada...naomba ushauri wenu nitampataje? Please i need constructive ideas
 
Last edited by a moderator:
Una hatari mwanangu Mbwiga88. Yaani unampenda mtu ambaye hata hujui utampata wapi! Hebu angalia wimbo huu huenda utapata jibu.


Mapenzi hayajari factor kama hizo ndugu yangu.....wangapi wamependana bila kufahamiana?
 
Last edited by a moderator:
Hayo yako si mapenzi ni kichaa bwana mdogo utakufa wakati si wako. Ukiona vyaelea jua vimeundwa. Nadhani jambo jema unaloweza kufanya ni kwenda kwa daktari wa akili vinginevyo jihesabu umepotea.

Mbwiga88 ukimsikiliza huyu mheshimiwa utakua umefanya jambo la maana sana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom