Nampenda Demi

Nampenda Demi

Nyie wadada badilisheni avatar zenu tuepuke hizi thread za kila siku!!

Mngeweka sura zenu nafikiri kusingekuwa na uzi kama hizi!!!
 
Nyie wadada badilisheni avatar zenu tuepuke hizi thread za kila siku!!

Mngeweka sura zenu nafikiri kusingekuwa na uzi kama hizi!!!
Kwamba sura zao ni za baba zao mkuu?

Sio mimi ila nimefany kiswahil ulichoandika kiwe chepesi kwa wasiojua kiswahil vizur
 
Unalitamani Busha wewe sio bure kuwa makini na mizinga ya watu ...wapi Mshana Jr 😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom