Nampenda Demi

Nampenda Demi

Wanajukwaa nimetokea kumpenda demi nikimfuata inbox yupo locked ,roho yangu imemfia nataka aizike,mwili wake ndio kaburi la roho yangu,nisaidieni nimpate
Hapa ndipo na shangaa jf sijui mtu anapenda avatar sijui thread zake aisee!
 
Wanajukwaa nimetokea kumpenda demi nikimfuata inbox yupo locked ,roho yangu imemfia nataka aizike,mwili wake ndio kaburi la roho yangu,nisaidieni nimpate
Mbona naskia harufu ya matamanio ndani ya hii post?
 
Hhaha kinachonifurahisha JF ni kwamba hakuna anayemjua yeyote.Waweza kumtongoza baba yako mzazi ukiamini ni demu mkali au kinyume chake.
 
Demi amekuuma mno kumfuatilia endelea naye nipo na Kasie

Mimi nimekushauri tuu, kuwa makini, simfahamu wala hanifahamu ila jua kabisa siyo kila ID yenye jina la kike na ku comment kama mdada basi unadhani ni mwanamke kweli, imeshatokea
 
Mimi nimekushauri tuu, kuwa makini, simfahamu wala hanifahamu ila jua kabisa siyo kila ID yenye jina la kike na ku comment kama mdada basi unadhani ni mwanamke kweli, imeshatokea[/QUOTEtunaburudiaha akili tu]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom