itabidi utafute mtu mwengine umpende!!
basi tafuta ajira sehem nyingine!!tatizo sihitaji mahusiano kwa sasa..
Nitakufukuza kazi very soon
Nitakufukuza kazi very soon
Tafuta kanguo kalainiiii halafu very tight, ingizana nako ofisini one day huku huna kitu ndani. Asipo kuangalia mara mbili jua haingiliki nawe funga virago uende home kwako ukalie machoziiii mpaka akutoke moyoni kabsa
mtego huu matata....Tafuta kanguo kalainiiii halafu very tight, ingizana nako ofisini one day huku huna kitu ndani. Asipo kuangalia mara mbili jua haingiliki nawe funga virago uende home kwako ukalie machoziiii mpaka akutoke moyoni kabsa
Tafuta kanguo kalainiiii halafu very tight, ingizana nako ofisini one day huku huna kitu ndani. Asipo kuangalia mara mbili jua haingiliki nawe funga virago uende home kwako ukalie machoziiii mpaka akutoke moyoni kabsa
mtego huu matata....
we ni mke au mume?nimechekaje...naanzaje kwanza..nimeshalia ila kajamaa kamekomaa yaani sina raha.kama unaweza nisaidie tu kumnyofoa
Uo umalaya achana nae jaribu kumshinda shetani
duu kumpenda mtu ni umalaya?mie sijamtamani joneke
Nampenda boss wangu..nimelificha jambo hili kwa muda mrefu limekuwa likininyima raha..
Sihitaji kuwa na mahusiano naye,kadri ninavyomkwepa ndivyo ninavyozidi kuumia..nifanye nini anitoke