Mu7
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,635
- 1,951
Mwenzenu nakerwa mno na meseji nyingi za kijinga zinazoingia kwenye simu yangu kila mara kutoka VODACOM Na TIGO. Mara Songesha, mara Ofa maaluma.......yani vurugu tupu.
Naomba mwenye kujua jinsi ya kuziblock anisaidie. Wajinga sana hawa. Wanatulazimisha kupokea msg zao bila ridhaa yetu halafu nyingi mno mpaka zinakera. Allllaaaaaaa......