Namna ya kuwa Rais wa Tanzania

Namna ya kuwa Rais wa Tanzania

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,037
Reaction score
168,683
10003427_688735924503362_1208794107_n.jpg
 
hao ndo wanojiita eti wanatoboa,kusoma gani huko??? watu wamekaririr. tu ila elimu sio ngumu kiasi hicho.
 
Mkuu huyo jamaa mbona anaonekana kichwa na miguu imekomaa, huyo nadhani yupo above 35....sasa ndoto amezianza kachelewa kama ndo anasoma digrii ya kwanza
 
Mkuu huyo jamaa mbona anaonekana kichwa na miguu imekomaa, huyo nadhani yupo above 35....sasa ndoto amezianza kachelewa kama ndo anasoma digrii ya kwanza
Mzee hizi ni shida tu ndo maana anaonekana kuwa ni mkubwa na amekomaa; huyu ni junk tu wa miaka 18, yuko sekondari ndo anamalizia form four
 
Weka mbali na watoto wakiona hii wanaweza kataa kuanza shule
 
shule ya hivyo niliipinga sana kujiweka maji wakati nausingizi haapana
 
hao ndo wanojiita eti wanatoboa,kusoma gani huko??? watu wamekaririr. tu ila elimu sio ngumu kiasi hicho.

Serikali yako ndo inafanya iwe ngumu...mazingira yenyewe anayosomea si unayaona .. hapo hana jinsi kila kitu ni msuli tu
 
Serikali yako ndo inafanya iwe ngumu...mazingira yenyewe anayosomea si unayaona .. hapo hana jinsi kila kitu ni msuli tu
sio kweli mkuu hapa serikali tunaisingizia yaani kusoma kwako usiku kucha serikali inaingiaje sasa kama kusoma masaa mawili-matatu yanatosha tu sio kujitesa eti uweke maji kwenye beseni utioe miguu ili usinzie ni kujitesa na kujitafutia magonjywa kwa kuulazimisha mwili umechoka unag`ang`ana kusoma matokeo yake huelewi na huwezi kushindana na nguvu ya usingizi kama ndugu yako hapo juu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom