Namna ya kuwa na app ya android ...

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,229
116,840
Namna ya kuwa na app ya android na iwe inapatikana pia kwa iphone users
unafanyaje?

naona watu weng humu wanawweka matangazo tu ya kuwa na website
wakati app ndo kila kitu these days
 
Fact mkuu...wengi wao wanaleta app zinazosupportiwa na Android tu... Nadhani app developers wanajua kuhusu hii ishu...ni vyema wakatutolea ufafanuzi
 
Mnataka ufafanuzi gani?

Kama unaitaji kutengenezewa app ni PM namba 0755563180 wasap and SMS only
 
Bei inategemeana na aina ya app unayoitaji ila tunaweza bargain kutokana na uzito wa kazi na bei yenyewe
 
Back
Top Bottom