MCHARANGO JM
Member
- Dec 30, 2018
- 44
- 11
Wana JF naomba kwa anayejua ku-connect internet njia ya wireless computer yangu inatumia window 10 nimejaribu kwa siku nyingi na sikufanikiwa ila kuna jamaa kajaribu nae kashindwa akawa ameniambia ninayotumia ni version ya muda mrefu so yeye hana experience nayo.