Namna ya kuunga internet ya computer kwa kutumia hotspot ya smartphone

Kwanini nikiwa kwenye Wasap web bando linaisha sanaaa tena kwa speed

Hapo inakuwejeee...? Baada ya kuunga Wifi kwenye pic yangu kutumia smartphone.

Pia na simu inapata sana motom.
Mi nafikiri inshu ya bando kukatwa sana uwa kunategemea network speed nachokifahamu na uwa naki-observe speed ya mtandao ikiwa kubwa na rate ya bando per second uwa kubwa mi uwa nadownlod sana movie asa wakat wa usiku network speed inafikaga 2 MB per second ten uwa inafika adi 2 point something per second tena ni 3G vpipi kama simu yako inasupport 4G si ni balaa tupu

alafu pia nafikir kitu kingine labda kila app ina principlez zake za namna ya kulima izi MB maana ata insta nao wapo vizuri kwa kupiga bando

lakin kiongozi hapo inshu kubwa ni network speed yaan kama simu yako ina support 4G na eneo ulilopo na sim card ya mtandao unaotumia pia ni 4G

hapo we tengeneza ratiba ya kununua bando kila siku
 
inshu ya simu kupata moto
wasubir Ma-experts watakuja na majibu
 
hiyo yaweza kuwa sababu
 
Labda tuu nijuze ulisha jaribu kuchart wasap kupitia Pc yako...?

Na kama umeweza usha jaribu ku Consider rate ya bando linavyo tiririka..?

Back
Top Bottom