Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,809
- 8,968
Nadhani alimaanisha evil eyes (kijicho/husda)Kuhama eneo ulilozaliwa haikufanyi kuwa tajiri boss. Tena inawezekana ndiyo fursa ya kuwa tajiri kwasababu unajuwa mazingira yako vizuri.

Jobless kapata wapi simu ya laki 5?Badala ya kulalamika huna ajira uja smart phone yako ya laki 5 kisha nunua ya laki au kiswaswadu. pesa inayobaki anzisha biashara ndogo.