Namna ya kutengeneza Nywila (Password) imara

Namna ya kutengeneza Nywila (Password) imara

Password yangu ilikuaa nabadilisha herufi kuwa namba. Mfano Kama nialaikua nataka kutumia cybergates kama password nilikua naweka CY83R94T35 huu mfumo niliacha kuutumia baada ya kuona kuna baadhi ya tool kwenye debian zinauwezo wa ku cheza na password Za aina iyo
sawa mkuu kwa hiya kwa sasa umeziongezea uimara zaidi.
 
mkuu haijarishi account yako ni ya aina gani ni vyema kuwa na nywila imara watu wanaweza kuchafulia CV sababu ya kupata access ya account yako.
Ha ha! Mi akaunti isiyo maana wachukue tu ila zile za hela na email na zile nawekaga password ngumu mpk mwenyewe nasahau naanza kusumbua wenye taasisi zao wanikumbushe password zangu ngumu..😀
 
Ukiisahau kuipata tena usumbufu ukute vitu ulivyo weka mfano namba ya simu au email umepoteza.
Ni mwendo wa kuweka nywila za kawaida kama.
1234, abcd,Jina(lako,baba,babu,mpenzi,mama) nk
 
Ukiisahau kuipata tena usumbufu ukute vitu ulivyo weka mfano namba ya simu au email umepoteza.
Ni mwendo wa kuweka nywila za kawaida kama.
1234, abcd,Jina(lako,baba,babu,mpenzi,mama) nk
Waweza tumia jina la baba lakini ukaifanya nywila kuwa ngumu, mfano tuseme baba anaitwa Juma wewe waweza tengeneza nywila kama hii ("J1u9m5a3") hapo mfano umeweka jina la baba na mwaka wake wa kuzaliwa lakini ni ngumu kubashiri.
 
Kweli kikubwa ni kucheza na hizo nywila nyepesi kwa kuzichanganya.
 
Back
Top Bottom