Apollo one spaceship
JF-Expert Member
- Jan 28, 2021
- 246
- 457
Wadau habari,nina wazo la kupiga mihela lakini sijui kutengeneza application pia kama ni kushirikiana na wataalamu wa IT sawa tu.
Nataka kujua nianzeje,gharama zake,hatua mbalimbali nk.
Nawasilisha kwenu tafadhali.
Nataka kujua nianzeje,gharama zake,hatua mbalimbali nk.
Nawasilisha kwenu tafadhali.