Namna ya kutambua yai litakaloanguliwa

May 31, 2022
20
19
KANUNI KABLA YA KUATAMISHA.
1. Yai liwe limetagwa na kuku aliyepandwa
Na jogoo.
2. Yai lisiwe na ufa au mpasuko wowote.
3. Yai liwe na shape inayoeleweka na sio
Lililo pinda pinda.
4. Ganda la yai liwe gumu na imara.
5. Mayai yasikae muda mrefu kabla hayajaingia
Kwenye mashine kama umehifadhi Kwenye
Eneo lenye hewa safi ni ndani ya siku 7 hadi 10.
6. Kuku wazazi wasiwe na magonjwa ili
kupunguza uwezekano wa vifaranga
Kuanguliwa na magonjwa.

IKIFIKA SIKU YA 7 HADI 10 MAYAI YAKIWA NDANI YA MASHINE AU UMETAMISHIA KUKU.

Hapo unaweza kupima kwa tochi maalimu au
Tochi ya simu ili kuhakiki ni mayai mangap?
Yaliyo rutubishwa.

Na ukisha pata majibu basi mashine ikiwa na ufanisi mzuri na kuchangiwa na kuku
Wazazi inaweza toa mpaka asilimia 99.

SASA UNAWEZA PATA INCUBATOR ZENYE
UFANISI MKUBWA KUTOKA MWALIMU
GROUP OF COMPANIES.

utapatiwa elimu zaidi ya ufugaji na usimamizi
Wa mashine na mradi wako.

TUPO DAR GOBA NJIA NNE 0676 176 742.
Screenshot_20230128-111336.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom