Admission ninazo vyuo viwili, ila ufadhili ndo sijapataUlikua na lengo nzuri sijui!!! Make nimeona wadau wengi waneleta utani mwingi adi maana ya Uzi umearibika tena; japo na Mimi pia nimekua na hitaji kama yako hiyo. Nimepata admission lakini ufadhili sijapata na lengo langu ni kupiga Shule kule Arusha nikiwa nasimamia mambo yangu
yeye mwenyewe muhusika ana utani... hamaanishi...Ulikua na lengo nzuri sijui!!! Make nimeona wadau wengi waneleta utani mwingi adi maana ya Uzi umearibika tena; japo na Mimi pia nimekua na hitaji kama yako hiyo. Nimepata admission lakini ufadhili sijapata na lengo langu ni kupiga Shule kule Arusha nikiwa nasimamia mambo yangu
Asante sana ila ni. Kwa ajili ya phd pekeeeyeye mwenyewe muhusika ana utani... hamaanishi...
GEL PhD Full Funded Scholarship in Tanzania 2019
Head Gelo nitafute PM tupeane experience ya hizi scholarship za ndani maana huu uzi naona sio sehemu yake.Admission ninazo vyuo viwili, ila ufadhili ndo sijapata
haha hahaha sijapata naomba unisomesheUmeshapata mume?? kama bado nikusomeshe
Nitakukuta usijaliMalengo yangu yalikuwa niwe na mume ndo nikasome masters ila yalotokea ndoto zikazimika dahhh wanaume nyie Mungu anawaona
Sasa acha niende tu shule, mume atanikuta huko huko
FlampeniFrying pan