Namna ya kutafuta scholarship ya masters

I dont beleive you, no one dont want to study abroad, in abroad you get more experience, those countries are much more advanced than tz, or maybe you got your bachelor degree in a way not genuine, anyway what do you want to study pls
 
Samahani, hiyo avatar ni wewe?
Kama ndivyo basi mimi ndo mume na nataka nikukute hapohapo, sio huko kwenye masters
Hahahaha wanaume msiojiamini ndo nyie sasa, kwani mke awezi kuwa na masters?
 
I dont beleive you, no one dont want to study abroad, in abroad you get more experience, those countries are much more advanced than tz, or maybe you got your bachelor degree in a way not genuine, anyway what do you want to study pls
Duh hebu tumia kiswaz Kuliko hizi broken zako.

Mimi sitaki kusoma abroad nina sababu zangu za msingi, usilazimishe tufanane,
Acha kuzarau nchi yako najivunia Tz


So kila asiyetaka kwenda nje labda kafoji vyeti hahah, duh jaribu kufikiri nje ya box nimesoma from olevo advance chuo na kuajiriwa unaweza kuwa na fojaring yeyote kweli zama hizi za magufuliii??????
 
Utaenda masters ukiwa na ring kwenye chanda, pengine na embryo kwenye womb, na utakua unatokea kwangu (hostel marufuku)
Hahahaha mmh,naona inaweza kuwa mwisho wa kusoma au hata kufanya kazi.
 
Hahahaha mmh,naona inaweza kuwa mwisho wa kusoma au hata kufanya kazi.
Hahaaa...
Hamnaa... kusoma utasoma na kazi utafanya ila nawezajikuta nasoma nawewe coz yako hatakama ckuwa na mpango na shule. Mawivu haya wacha kabisa.
 
walio foji mbona wapo tena sio wachache.. na nizama hizi hizi... ebu pata wakati wa kutafakari kidogo...!

ukiwa na sababu zako za msingi ni jambo jema Ila tusi dharau au kejeri kwa wengine... si poa
 
Hahahah haya itakuwa raha mana nitakula bata vi assignment utakuwa unamaliza ba mjengo
Hahaaa...
Hamnaa... kusoma utasoma na kazi utafanya ila nawezajikuta nasoma nawewe coz yako hatakama ckuwa na mpango na shule. Mawivu haya wacha kabisa.
 
walio foji mbona wapo tena sio wachache.. na nizama hizi hizi... ebu pata wakati wa kutafakari kidogo...!

ukiwa na sababu zako za msingi ni jambo jema Ila tusi dharau au kejeri kwa wengine... si poa
Nina sababu za msingi za kijamii zaidi

Na siyo kama alivotia shaka
 
Umeshapata mume?? kama bado nikusomeshe
 
Ulikua na lengo nzuri sijui!!! Make nimeona wadau wengi waneleta utani mwingi adi maana ya Uzi umearibika tena; japo na Mimi pia nimekua na hitaji kama yako hiyo. Nimepata admission lakini ufadhili sijapata na lengo langu ni kupiga Shule kule Arusha nikiwa nasimamia mambo yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…